Wednesday, 26 February 2014

BOMOA BOMOA JIJINI DODOMA YAWAGUSA NA WAFANYABIASHARA WA NJE YA BUNGE

Wafanyabiashara wa nje ya eneo la Bunge, Dodoma wakiwa wamesitisha biashara zao mara baada ya vibanda walivyokuwa wakiendeshea biashara vilivyokuwa vimejengwa nje ya eneo la Bunge kuvunjwa na mamlaka ya ustawishaji makao makuu(CDA) jana kwa madai kuwa vimejengwa bila kufwata taratibu za mamlaka hiyo.
  Wafanyabiashara wakiondoa mabaki ya vibanda vilivyokuwa vimejengwa nje ya eneo la Bunge, Dodoma  baada ya kuvunjiwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) jana kwa madai kuwa imejengwa bila kufuata taratibu za mamlaka hiyo.
Wananchi wa Dodoma wakiangalia nyumba iliyoko Mtaa wa Oneway katika manispaa ya Dodoma baada  ya kuvunjwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) kwa madai kuwa imejengwa bila kufuata taratibu za Mamlaka hiyo.

NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE

·         Hili ni tawi la ishirini kufunguliwa mkoani Dar es Salaam
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw. Meck Sadick akikata utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Mandela Road .Kwanza kushoto ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam ,Bw. Salie Mlay na kwanza kushoto ni  Mkuu  wa kitengo cha Huduma kwa wateja wakubwa  NMB, Bw.Gerald Kamugisha wakishuhudia ufunguzi huu uliofanyika jana jijini Dar es salaam.


Monday, 24 February 2014

Tigo yazindua huduma ya kwanza duniani ya kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu kimataifa, baina ya Rwanda na Tanzania, yenye uwezo wa kubadilisha fedha za kigeni

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dr. Ben Rugangazi akionyesha meseji katika simu mara baada ya kupokea pesa kutoka Tigo Cash Rwanda. Kulia akionyeshea alama ya dole ni Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez. Hivi sasa wateja wa Tigo Tanzania wanauwezo wakutuma na kupokea pesa kutoka Tigo Rwanda bila makato yoyote.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez (kushoto) akifurahi mara baada ya kutaarifiwa kwamba muamala wa Tigo Pesa umepokelewa nchini Rwanda. Kwenye luninga (upande wa kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Francis Mwaipaja aliyepokea pesa hizo. Huduma hii inamwezesha mteja kupokea pesa moja kwa moja katika sarafu ya nchi yake husika na kuondokana na usumbufu wa kwenda kubadilisha fedha za kigeni.
..........................................................................................................................................
Dar es Salaam, Tanzania; Kigali, Rwanda: 24 Februari, 2014 – Tigo, kampuni ya mawasiliano ya kimataifa inayomilikiwa na Millicom (Stockholmsbörsen: MIC) ambayo ni kampuni inayoongoza katika nchi 13 barani Afrika na Amerika Kusini, imekuwa kampuni ya kwanza duniani kuanzisha huduma ya kutuma na kupokea pesa baina ya nchi mbili tofauti ambazo ni Tanzania na Rwanda.
 
Huduma hii mpya ilizinduliwa katika tafrija mbili tofauti kwa wakati mmoja ambazo zilifanyika katika miji ya Dar es Salaam na Kigali ambapo Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dr. Ben Rugangaza na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja ndio walikuwa wa kwanza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kupitia njia ya simu kati ya nchi hizo mbili.
 
Huduma hii inatoa fursa kwa watumiaji wa Tigo nchini Tanzania kutuma pesa kwa njia ya simu kwa kutumia huda ya Tigo Pesa kwenda kwa watumiaji wa Tigo nchini Rwanda, na kinyume chake. Huduma hiyo inaweza ikabadilisha fedha za kigeni moja kwa moja, ambapo pesa inayotumwa kwa shilingi za kitanzania au francs za Rwanda zinaweza zikabidilishwa kuwa fedha za nchi zinakopokelewa.  
  
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, aina hii ya huduma ni ya kwanza duniani kwa kuwa na uwezo wa kubadilisha fedha za kigeni kutoka kwa mtumaji hadi kwa mpokeaji.
 
Fedha ikishapokelewa kwenye simu, mteja anaweza kuitumia kulipia huduma zote zinazopatikana kwenye Tigo Pesa au Tigo Cash iliyopo Rwanda. Hii inajumuisha kuongeza salio, kulipia bili ya maji, TV pamoja na usafiri, kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti za benki, kutoa fedha kutoka kwa wakala yeyote nchini pamoja na kutuma kwa urahisi fedha kwa watumiaji wengine wa Tigo Pesa.
 
Kutuma fedha kutoka Tigo Pesa (Tanzania) kwenda kwa watumiaji wa Tigo Cash (Rwanda), mteja anachotakiwa kufanya nia kupiga nambari *150*90#, huku wale walioko Rwanda wakipiga nambari *200*7#. Huduma hii inaweza ikatumika kutoka kwenye simu aina yeyote iliyounganishwa na laini ya Tigo. Wateja wa nchi husika watapokea fedha zao pale pale wanapotumiwa na kupokea katika aina ya fedha ya nchi husika.
 
Kujisajili kwenye huduma ya Tigo Pesa au Tigo Cash, wanachotakiwa kufanya wateja ni kutembelea wakala yeyote nchini Tanzania au Rwanda. Kujisajili ni bure. Kinachohitajika ni kitambulisho cha mhusika.
 
Kwa mujibu wa Gutierrez, “Huduma hii mpya itaokoa muda mwingi wa wateja pamoja na fedha zao. Watumaji wa fedha kimataifa wamekuwa wakienda sehemu za kubadilishia fedha za kigeni kuweza kubadilisha Francs za Rwanda kuwa dola kasha kutuma hizo dola kupitia kwa mawakala wengine wa fedha. Hivi sasa wanaweza wakatuma pesa kupitia simu zao.”
 
Gutierrez aliendelea: “Tunafurahi kuwapa wateja wetu nyenzo za kufanya miamala kwa wana Afrika mashariki wenzao. Tunashukuru kwamba kutokana na teknolojia yetu ya kisasa, wananchi wa Rwanda wanaweza kutuma pesa kwa familia, marafiki, pamoja na wafanyabiashara wenzao walioko nchini kwao.”
 
Tongai Maramba, Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Rwanda naye alisema: “Tumefurahi kuanza kuwapa wateja wetu wa Tigo Cash uwezo wa kutuma fedha kimataifa kupitia simu zao. Pia ni jambo zuri zaidi kwamba wateja wetu wamerahisishiwa kwa kuweza kupokea moja kwa moja katika Francs za Rwanda kwa sababu kampuni nyingi za kutuma na kupokea fedha huwa wanatumia dola. Huduma hii haimpi wasi wasi wowote mteja kuanza kutafuta sehemu ya kubadilishia fedha.”
 
Murenzi Abdallah, msafirishaji anayefanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na Goma alisema: “Nimefurahishwa sana na uwezo tuliopewa wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu nikiwa nchini Tanzania. Maisha yangu yatarahisishwa kwa namna ya kukamilisha kulipia ushuru mbali mbali mpakani pamoja na mahitaji mengine nikiwa katika safari zangu ndefu.”
 
Millicom inatoa huduma za kutuma na kupokea fedha nchini Tanzania, Ghana, Rwanda, DRC, Chad, Bolivia, Colombia, El Salvador, Guatemala, Honduras, Senegal na Paraguay, pia ina mpango wa kuzidi kupanua wigo wake katika nchi zingine katika siku za usoni.  
 
Huduma hii mpya ina manufaa makubwa kwa biashara zinazofanyika kati ya nchi hizi mbili, familia zinazokaa katika nchi hizi kama wageni, waendesha malori, wanaosafirisha na kununua bidhaa kutoka nchi zote mbili. Tanzania ni nchi ya pili inayoongoza kwa kufanya biashara na Rwanda. Mwaka 2013, Rwanda ilinunua bidhaa zenye thamani ya dola 80,883,702 kutoka Tanzania, huku bidhaa zinazoingizwa Tanzania zikithaminiwa kuwa dola 231,695,265 kutoka Rwanda mwaka huo huo. 

Balozi wa Rwanda nchi Tanzania Dk. Ben Rugangazi akitoa hotuba yake mbele ya waandishi wa habari na wageni waalikwa. Balozi Rugangazi aliipongeza kampuni ya simu ya Tigo na alisema kwamba huduma hiyo mpya ya kutuma na kupokea pesa itaweza kukuza uchumi wa nchi za Tanzania na Rwanda pamoja na kuendeleza kuimarisha ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Waandishi wa habari na wageni waalikwa mbali mbali wakiwemo wafanyabiashara na wanafunzi wa Rwanda wanaofanya shughuli zao nchini.

MOYES athibithsha wachezaji Phil Jones na Jonny Evans kukosa mechi ya UEFA kesho

Kocha Mkuu wa Manchester United, David Moyes(kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jioni jijini Athens ambapo timu hiyo inatarajia kucheza mechi na Olympiacos katika ligi ya Mabingwa kesho.
...............................................................................................



Jonny Evans













Wachezaji wa Manchester United, Phil Jones na Jonny Evans hawajasafiri kuelekea Ugiriki kucheza ligi ya Mabingwa(UEFA Champions league) raundi ya 16 dhidi ya timu ya Olympiacos.



Phil Jones
Mabeki hao wawili wamekosa mechi kadhaa baada ya kuumia kwenye mechi waliyocheza na Stoke City, February 1 ambapo United walitoka sare ya 2-2. Jones alipata jeraha la kichwa baada ya kugongana na Jonathana Walters wakati Evans aliumia misuli ya nyuma ya goti.
Katika mkutano na waandishi wa habari leo jioni jijini Athens, David Moyes alithibitisa kukosekana kwa wachezaji hao wawili na kueleza jinsi anavyotarajia kukumbana na timu ya kigiriki, Olympiacos katika kiwanja cha Karaiskakis.
“Jones na Evans hawajasafiri nasi,  wachezaji wengine wote tupo nao,” alisema Moyes kwa waandishi wa habari. “Nilipata bahati ya kuangalia mechi ya Arsenal na Bayern Munich na kufurahia ligi ya Mabingwa."

Akizungumza kuhusiana na ligi hiyo Moyes alisema, “Kupata nafasi ya kuingia ilikuwa ni kitu muhimu cha kwanza. Kushinda kwenye kundi ni nyongeza. Natarajia hilo. Ni kweli ni mchezo mgumu, Olympiacos wanarekodi nzuri hapa, na tunafahamu, katika rekodi yetu tunasare hivyo tunabidi tucheze vizuri ili tuweze kufuzu.” Aliongezea Moyes.
Kocha huyo wa Manchester United pia alisema Olympiacos walifanya vizuri dhidi ya PSG na Benfica ambapo walitoka kwenye kundi gumu sana. Alisema wanafahamu kuwa utakuwa ni usiku mgumu sana dhidi ya Olympiacos kwasababu wanamsaada mkubwa kwani wapo nyumbani hivyo mechi hiyo haitakuwa rahisi.

Ali Choki atinga ukumbini na Ambulance kwenye uzinduzi wa albamu mpya ya “Mtenda Akitendewa” ya bendi yake.

Gari la kubebea wagonjwa “Ambulance” likiingia katika ukumbi wa Dar Live likiwa limembeba Ali Choki, wakati akiingia kufanya Uzinduzi wa Albamu mpya ya bendi yake ya Extra Bongo iliyopewa jina la “Mtenda Akitendewa”.
Wasanii wa Muziki wa Dansi, Ali Choki na Banza Stone, wakiimba kwa pamoja wakati wa Uzinduzi wa Albamu mpya ya bendi yao ya Extra Bongo ya “Mtenda akitendewa”, Uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Msanii wa Muziki wa Dansi, Ali Choki akiimba mbele ya Mashabiki waliojitokeza katika uwanja wa taifa wa Burudani Dar Live, wakati wa Uzinduzi wa albamu yake mpya ya “Mtenda akitendewa” Uzinduzi huo ulidhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa wakitoa burudani kwa Mashabiki wa Muziki wa dansi wakati wa Uzinduzi wa Albamu mpya ya bendi ya Extra Bongo katika ukumbi wa Dar Live mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Mpiga tumba wa bendi ya Mashujaa akionyesha Ufundi katika kupiga ngoma wakati wa uzinduzi wa bendi ya Extra Bongo, “Mtenda akitendewa”.
 
Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo “Wazee wa kizigo” wakitoa burudani kwa Mashabiki wa Muziki wa dansi wakati wa Uzinduzi wa Albamu yao mpya ya “Mtenda akitendewa” katika ukumbi wa Dar Live mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya, Linah Sanga na Amini MwinyiMkuu wakiimba kwa pamoja wimbo wa “Mtima wangu” kwa Mashabiki waliojitokeza katika Ukumbi wa Dar Live, Wakati wa Uzinduzi wa Albam mpya ya bendi ya Extra Bongo “wazee wa kizigo”, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo pia ulisindikizwa na Bendi ya Mashujaa ulidhaminiwa na Vodacom.
............................................................................................................................................
Dar es Salaam, Februari 24, 2014 … Ilikuwa ni siku ya aina yake kwa bendi ya Extra Bongo "wazee wa kizigo" walipokuwa wakizindua albamu yao ya mtenda akitendewa na kuacha gumzo kwa mamia ya mashabiki waliojitokeza ukumbini humo asante kwa udhamini wa Vodacom kufanikisha Tamasha hilo.
Palikuwa hapatoshi katika ukumbi huo wa taifa wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo bendi kaadhaa za muziki wa dansi na wasanii wa bongo flava zilitumbuiza kabla ya uzinduzi wenyewe kufanyika.
Kivutio kikubwa zaidi kilikuwa ni pale ambapo kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Kamarade Ali Choki alipoingia na gari ya kubebea wagonjwa (Ambulance) ukumbini kutumbuiza mashabiki wake waliofurika kwa wingi.
Uzinduzi wa albamu hiyo iliyokwenda kwa jina la Mtenda akitendewa ulikwenda sambamba na burudani lukuki kutoka kwa wanamuziki mbali mbali mashuhuri nchini kama vile malikia wa mipasho nchini Khadija Omari Kopa, Banza Stone, Abdul Misambano, Mashujaa Band pamoja na wasanii wa bongo flava Linah na Amini ulidhaminiwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom.
Wanenguaji wa Extra Bongo walifanikiwa vilivyo kuzikonga nyoyo za mashabiki ukumbini hapo kwa kupagawisho vilivyo jukwaani kwa staili mbali mbali mpya za uchezaji.
Kwa upande wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wa bongo flava, Linah na Amini walidhibitisha kwa nini wao ni waimbaji bora na wataendelea kuwa hivyo kwa kuonyesha kipaji cha hali ya juu katika kulimiliki jukwaa ambapo waliimba kibao chao kitamu cha ‘Omotima wange ni wewe’.


Sunday, 23 February 2014

MASHINDANO YA KUKIMBIZA MAGARI(RALLY SPRINT 2014) YALIVYOFANA JIJINI DAR ES SALAAM


Askari Usalama wakimvalisha kofia ya usalama(Helmet) moja wa madereva kabla ya kuanza kushindana katika mashindano ya magari(Rally Sprint 2014) jana viwanya vya Tanganyika packers, Kawe jijini Dar es Salaam.

Mshika bendera(kushoto) akionesha bendera kwa dereva kuashiria mshindani amemaliza kuzunguka raundi zake. Kila mshindani alitakiwa azunguke raundi mbili mapema zaidi ya wenziye.
 
Mashabiki wa mashindano hayo wakifwatilia kwa makini.

 

 
Ajali Kazini: Askari usalama wakijitahidi kuinua gari lililobinuka wakati wa mashindano, hakuna aliyejeruhiwa kufwatiwa na ajali hiyo.
Madereva walioshiriki katika mashindano ya kukimbiza magari(Rally Sprint 2014).
Mshindi wa kwanza wa two wheel drive, Zuberi(kushoto) akifurahia zawadi ya kikombe na medali pamoja na cheti cha ushiriki mara baada ya kupewa na Kiongozi wa AATanzania, Mzee Birdi katika mashindano ya kukimbiza magari(Rally Sprint 2014) jana jijini Dar es Salaam.

Saturday, 22 February 2014

TIMU YA KIKAPU YA OUTSIDERS YACHAPWA NA TIMU YA MBC(MBEZI BEACH BBALL CLUB) VIKAPU 76 KWA 68 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI JANA

Mchezaji wa timu ya Outsiders(kushoto) akiangalia jinsi ya kuwafungulia njia  wachezaji wenzake kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya MBC jana viwanja vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Timu ya MBC ilishinda vikapu 76-68 ambapo hadi robo yapili timu ya Outsiders ilikuwa inaongoza.

Wachezaji wa timu ya Outsiders na MBC wakijiweka teyari kuugombania mpira uliorushwa na mchezaji wa Outsider, Big(6).
Mchezaji wa timu ya Outsiders, Dady(9) akizuia lango dhidi ya mchezaji wa timu ya MBC, Bato katika mechi ya kirafiki iliyochezwa jana viwanja vya Chuo kikuu cha Dar  es Salaam. 
Mchezaji wa timu ya MBC, Joseph Kisusi(23) akichoma dhidi ya wachezaji wa timu ya Outsiders jana viwanja vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Timu ya MBC iliishinda timu ya Outsiders kwa vikapu 76-68.
Wachezaji wa timu ya MBC(kulia na kushoto) wakimuangalia mchezaji wa timu ya Outsiders(katikati) akirusha mpira kwenye kikapu.
Wachezaji wa timu ya Outsiders wakiangalia mpira ukiingia kwenye kikapu mara baada ya mchezaji wa MBC kuurusha.
 
Mchezaji wa timu ya MBC, Cornelly(kulia) akirusha mpira kwenye kikapu huku akizuiwa na mchezaji wa timu ya Outsiders.
Wachezaji wa timu ya Outsiders wakijadili jambo kipindi cha mapumziko.

Friday, 21 February 2014

UBUNIFU WABIASHARA YA UUZAJI MATUNDA

Matunda yakiwa yamepakiwa kwenye gari kwa staili yake pembezoni mwa barabara ya savei jijini Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengi hivi sasa wameonekana wakitumia mfumo huu wakuuza matunda yakiwa yamepakiwa kwenye gari pembezoni mwa barabara kwa lengo la kupata soko zaidi kutoka kwa wapiti njia. 
Matunda aina ya Ndizi na Mananasi yakiwa yamefungwa juu ya gari ya Canter teyari kwa uuzaji.

UFAULU WAONGEZEKA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013, ST. FRANCIS GIRLS SECONDARY SCHOOL YAONGOZA KITAIFA. ANGALIA HAPA!

Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013 huku watahiniwa wakifaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wakufanya vibaya zaidi kwenye  somo la Hisabati (17.78%).

Boyfa hapa http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm kuyaangalia.

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S0239 ST. FRANCIS GIRLS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 81 DIV-II = 8 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 DIV-0 = 0



CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S0239/0001

F

25

III

CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'D' B/KNOWL - 'F' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B' B/MATH - 'D'

S0239/0002

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'A' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0003

F

8

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'A' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0004

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'C' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B'

S0239/0005

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0006

F

14

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0007

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0008

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0009

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0010

F

17

I

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'B' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0011

F

18

II

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'C'

S0239/0012

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0013

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0014

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0015

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0016

F

23

II

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B+' BIO - 'B' B/MATH - 'D'

S0239/0017

F

14

I

CIV - 'B+' HIST - 'C' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0018

F

20

II

CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'A' BIO - 'B+' B/MATH - 'D'

S0239/0019

F

12

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0020

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0021

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0022

F

14

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B' B/KNOWL - 'E' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0023

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0024

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0025

F

16

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0026

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0027

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0028

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0029

F

17

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0030

F

16

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0031

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0032

F

20

II

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'D' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'A' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0033

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0034

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0035

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0036

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0037

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0038

F

15

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'B'

S0239/0039

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0040

F

12

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0041

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0042

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0043

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0044

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0045

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0046

F

11

I

CIV - 'B' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0047

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'A' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0048

F

13

I

CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0049

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0050

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0051

F

15

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0052

F

15

I

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0053

F

7

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'A' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0054

F

16

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0055

F

14

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0056

F

14

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0057

F

14

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0058

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0059

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0060

F

19

II

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'D' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0061

F

14

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'E' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0062

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'A' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0063

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0064

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'A'

S0239/0065

F

12

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0066

F

17

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0067

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0068

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0069

F

16

I

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'B' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0070

F

15

I

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0071

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0072

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0073

F

9

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0074

F

18

II

CIV - 'B' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0075

F

16

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0076

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'A' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0077

F

22

II

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'C'

S0239/0078

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0079

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0080

F

15

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0081

F

22

II

CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'C' B/KNOWL - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'C'

S0239/0082

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0083

F

13

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'B+'

S0239/0084

F

16

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'A' ENGL - 'B+' BIO - 'B+' B/MATH - 'B'

S0239/0085

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0086

F

13

I

CIV - 'B' HIST - 'B+' GEO - 'B' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0087

F

8

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B+' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'A' CHEM - 'A' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0088

F

17

I

CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'B' B/KNOWL - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B+' PHY - 'B' CHEM - 'B' BIO - 'B+' B/MATH - 'B+'

S0239/0089

F

10

I

CIV - 'B+' HIST - 'B+' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'A' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'

S0239/0090

F

11

I

CIV - 'B+' HIST - 'B' GEO - 'B+' B/KNOWL - 'B' KISW - 'B+' ENGL - 'A' PHY - 'B+' CHEM - 'B+' BIO - 'A' B/MATH - 'A'