![]() |
Mshika bendera(kushoto) akionesha bendera kwa dereva kuashiria mshindani amemaliza kuzunguka raundi zake. Kila mshindani alitakiwa azunguke raundi mbili mapema zaidi ya wenziye. |
![]() |
Mashabiki wa mashindano hayo wakifwatilia kwa makini. |
![]() |
Ajali Kazini: Askari usalama wakijitahidi kuinua gari lililobinuka wakati wa mashindano, hakuna aliyejeruhiwa kufwatiwa na ajali hiyo. |
![]() |
Madereva walioshiriki katika mashindano ya kukimbiza magari(Rally Sprint 2014). |


No comments:
Post a Comment