Friday 21 February 2014

UBUNIFU WABIASHARA YA UUZAJI MATUNDA

Matunda yakiwa yamepakiwa kwenye gari kwa staili yake pembezoni mwa barabara ya savei jijini Dar es Salaam. Wafanyabiashara wengi hivi sasa wameonekana wakitumia mfumo huu wakuuza matunda yakiwa yamepakiwa kwenye gari pembezoni mwa barabara kwa lengo la kupata soko zaidi kutoka kwa wapiti njia. 
Matunda aina ya Ndizi na Mananasi yakiwa yamefungwa juu ya gari ya Canter teyari kwa uuzaji.

No comments:

Post a Comment