Tuesday 31 December 2013

NALINDA LANGO 'WIZI MTUPU'

Cheki mshkaji alivyouchapa bila wasiwasi

Mlinzi anaelinda lango la mamlaka ya hali ya hewa Tanzania(TMA) akiwa ameuchapa usingizi leo mida ya saa nne asubuhi. Kamanda wenu nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa waandishi wa habari ofisi za TMA na ndipo nikamkuta mlinzi huyo ameuchapa laivu.

Usingizi mnooono.

1 comment:

  1. .....hapana shaka n 'involuntary action', wamsaidie net, kesi kesho!

    ReplyDelete