![]() |
| Muigizaji kutoka Kenya, Lupita Nyong'o na Mwanamuziki wa Marekani, Rihanna wakifurahia jambo kwenye Miu Miu fashion, Paris jana. |
![]() |
| Rihanna na Lupita wakipata wasaa wa ukodak. |
![]() |
| Rihanna na Lupita wakiwa kwenye mstari wa mbele kabisa kwenye Miu miu fashion, Paris jana. |
![]() |
| Lupita akijipiga ukodak 'selfie' na warembo wenzake. |
![]() |
| Muigizaji wa Marekani, Jared Leto akiwa na Mwanamuziki Rihanna kwenye Miu miu fashion, Paris jana. |
![]() |
| Lupita Nyong'o akiteta jambo na muigizaji wa Marekani, Jared Leto. Hivi karibuni kumekuwa na tetesi mbalimbali za waigizaji hawa kuwa na uhusiano zaidi ya urafiki. |
![]() |
| Muigizaji kutoka Kenya, Lupita Nyong'o akiongea na muigizaji na mwanamitindo wa Marekani, Ashley Oslen. |







No comments:
Post a Comment