![]() |
| Hapa Mpishi akichoma Nyama kwa makini. |
![]() |
| Wadau Amani Nkurlu(wapili kulia), Leonard Nkurlu(kulia) pamoja na wadau wengine wakipata wasaa wa ukodak kwenye Nyama Choma Festival jumamosi jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Nyama ya kuku ikichomwa. |
![]() |
| Mtangazaji wa Clouds fm, Adam Mchomvu(kushoto) pamoja na DJ K3(katikati) wakisawazisha swala la mziki kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika jumamosi jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakicheza na kufurahia mziki katika Nyama Choma festival iliyofanyika jumamosi viwanja vya Posta, Kijitonyama. |
![]() |
| Maana halisi ya Tamasha la Nyama Choma. Hapa Nyama ya Mbuzi ikichomwa. |
![]() |
| Wadau |















I love this ncf( nyama choma festival) brings frnds all of Dar together in one place...!!
ReplyDelete