Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Zakia Bilala, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,
leo mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko. |
No comments:
Post a Comment