| Sehemu ya kundi la watu waliofurika eneo la Slipway wakijumuika na familia na marafiki zao kwa ajili ya kusherekea mwaka mpya. |
| Vijana wakifurahia mwaka mpya kwa shangwe na kupiga vuvuzela eneo la Slipway. |
| Watoto nao hawakucheza mbali na sherehe za mwaka mpya. |
| Raia wa kigeni wakisherekea mwaka mpya kwa kujumuika na watanzania enea la Slipway, water front. |
| Marafiki wakigonga chiazz kama ishara ya kuupokea mwaka mpya. |
| Wadau mbali mbali waliokwepo Slipway, waterfront kusherekea. |
| Warembo nao hawakusita kuwa na nyuso za furaha mara baada ya mwaka mpya kuwadia. |
![]() |
| Namimi nikapose na warembo kutoa tabasamu la mwaka 2014. |
| Tabasamu la mwaka mpya eneo la Masaki. |
![]() |
| Watu wakibadilishana mawazo na kupanga mipango ya mwaka mpya. |
| Wadau. |
| Mdau Bambo Magingo pamoja na dada yake. |




No comments:
Post a Comment