“NGOMA
DROO”
|  | 
| 
Mchezaji
wa Chelsea, Fernando Torres akishambulia goli la Arsenal. Mtanange huo uliisha Arsenal 0 - Chelsea 0 | 
|  | 
| 
Kipa wa
Chelsea, Peter Cech akijitahidi kuzuia mpira toka kwa mchezaji wa Arsenal, Ozi.
 | 
|  | 
| 
Ramsey
akijitahidi kuwatoka wachezaji wa Chelsea.  | 
|  | 
| Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger. | 
|  | 
| 
Mashabaki
wa Chelsea jana ndani ya mavazi ya Santa Claus. | 
|  | 
| Walcott akimchezea vibaya mchezaji wa Chelsea, Cesar Azpilicueta | 
|  | 
| 
Walcott
akilamba kadi ya njano. | 
|  | 
| Beki wa Chelsea, Cesar Azpilicueta akiokoa mpira usiingie dimbani jana Emirates. | 
|  | 
| 
Beki wa
Chelsea, Obi Mikel akichukua mpira toka kwa streka wa Arsenal, Mesut Ozil. | 
|  | 
| 
Mourinho
akionesha hisia zake kwa wachezaji. | 
|  | 
| 
Theo
Walcott na Frank Lampard katika vuta nikuvute. | 
|  | 
| 
Mourinho
akimpa tuff mchezaji wa Arsenal, Bacary Sagna | 
|  | 
| Mchezaji wa Arsenal, Olivier Giroud akijishika kichwa baada ya kukosa nafasi ya kuwafunga Chelsea jana. | 
|  | 
| Wachezaji wa Chelsea, John Terry na Frank Lampard wakipiga makofi kwa mashabiki mara baada ya mechi dhidi ya Arsenal kuisha jana. Mechi hiyo iliisha pasipo timu hizo kufungana. | 
|  | 
| Hali ilivyokuwa jana nje ya uwanja wa Emirates. | 
 
No comments:
Post a Comment