MAMIA YA WATU WALIVYOFURIKA KATIKA BAHARI YA HINDI KWA AJILI YA KUSHEREKEA KRISMAS
Licha ya mamlaka ya hali ya hewa siku mbili zilizopita kutangaza kwamba kutakuwa na Upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa pwani, Mamia ya watanzania, familia kwa marafiki,
walifurika katika Bahari ya hindi, Oysterbay almaarufu kama Coco beach kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya Krismas kwa namna ya kipekee kabisa. Angalia picha 16 tofauti za namna kulivyofana.
MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR 2014.
No comments:
Post a Comment