|  | 
| Waumini wa Kanisa la Kilutheri, Mbezi beach wakiwa katika ibada ya kusherekea krismas. | 
| Waumini wa kanisa la Azania Front wakiimba nje ya kanisa katika ibada ya kusherekea krismas. | 
|  | 
| Waumini wa Kanisa la kikatoliki, Kawe wakiangalia mfano wa alipozaliwa Yesu kristo kwenye zizi la ng'ombe kama ionekanavyo katika picha. | 
|  | 
| Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Azania Front akiongoza ibada katika kanisa hilo. | 
|  | 
| Waumini wa kanisa la kilutheri Mbezi beach mara baada ya ibada ya kusherekea Krismas kuisha. | 
 
No comments:
Post a Comment