Kama ilivyodesturi ya wengi wa watanzania, siku za sikukukuu wengi wao hununua nyama ya ng'ombe, mbuzi ama kuku kwa ajili ya kuchanganyia kwenye pilau au kuichoma ili sikukuu ziweze kupita kwa staili yake. Tazama picha zifuatazo zikionesha foleni ya baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwa wanasubiria kununua nyama leo katika bucha ya New Zanzibar iliyopo Ubungo.
Good one Atuza
ReplyDeleteWatanzinia bhana inamaana hatuli nyama mpaka sikukuu hawa watu walikuaga wap siku zote
ReplyDelete