“NGOMA
DROO”
![]() |
|
Mchezaji
wa Chelsea, Fernando Torres akishambulia goli la Arsenal. Mtanange huo uliisha Arsenal 0 - Chelsea 0
|
![]() |
|
Kipa wa
Chelsea, Peter Cech akijitahidi kuzuia mpira toka kwa mchezaji wa Arsenal, Ozi.
|
![]() |
|
Ramsey
akijitahidi kuwatoka wachezaji wa Chelsea.
|
| Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger. |
![]() |
|
Mashabaki
wa Chelsea jana ndani ya mavazi ya Santa Claus.
|
![]() |
| Walcott akimchezea vibaya mchezaji wa Chelsea, Cesar Azpilicueta |
![]() |
|
Walcott
akilamba kadi ya njano.
|
![]() |
| Beki wa Chelsea, Cesar Azpilicueta akiokoa mpira usiingie dimbani jana Emirates. |
![]() |
|
Beki wa
Chelsea, Obi Mikel akichukua mpira toka kwa streka wa Arsenal, Mesut Ozil.
|
![]() |
|
Mourinho
akionesha hisia zake kwa wachezaji.
|
![]() |
|
Theo
Walcott na Frank Lampard katika vuta nikuvute.
|
![]() |
|
Mourinho
akimpa tuff mchezaji wa Arsenal, Bacary Sagna
|
![]() |
| Mchezaji wa Arsenal, Olivier Giroud akijishika kichwa baada ya kukosa nafasi ya kuwafunga Chelsea jana. |
![]() |
| Wachezaji wa Chelsea, John Terry na Frank Lampard wakipiga makofi kwa mashabiki mara baada ya mechi dhidi ya Arsenal kuisha jana. Mechi hiyo iliisha pasipo timu hizo kufungana. |
![]() |
| Hali ilivyokuwa jana nje ya uwanja wa Emirates. |














No comments:
Post a Comment