![]() |
| Mchezaji wa Hull city, James Chester akifunga goli la kwanza dhidi ya Manchester Utd leo. |
![]() |
| Wachezaji wa Hull city wakishangilia goli. |
| Wayne rooney(katikati) akipiga voli na kurudisha goli la pili dhidi ya Hull city. |
| Chris Smalling mchezaji wa Man Utd akifunga dhidi ya Hull city kwa kupiga kichwa leo katika uwanja wa KC, Uingereza. |
| Wachezaji wa Manchester Utd wakishangilia goli. |
![]() |
| Kocha wa zamani wa Manchester Utd, Sir Alex Ferguson akisalimiana na mashibiki pindi alipoingia uwanjana kuangalia mechi. |
| Add caption |
| Mchezaji wa Hull City, James Chester akisikitika baada ya kujifunga goli kwenye meci dhidi ya Manchester Utd. Pembeni ni Wayne Rooney akishangilia. |
| Mchezaji wa Manchester, Antonia Valencia akilamba kadi nyekundu baada ya kupata kadi ya njano kwa kucheza rafu. |




No comments:
Post a Comment