Thursday, 26 December 2013

GAZETI LA MTANZANIA LARUDI BAADA YAKIFUNGO CHA SIKU 90. LAMWANDIKIA WARAKA MAALUMU RAISI JAKAYA KIKWETE.












Tarehe 27, 2013 SERIKALI kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) ililifungia Gazeti la MTANZANIA kwa muda wa siku 90 kupitia Tangazo la Serikali namba 332 la tarehe 27 Septemba, 2013 kwa kile inachodai kuwa limekuwa likiandika habari za kichochezi.

No comments:

Post a Comment